Isaiah 3:10-11


10 aWaambie wanyofu itakuwa heri kwao,
kwa kuwa watafurahia tunda la matendo yao.

11 bOle kwa watu waovu! Maafa yapo juu yao!
Watalipwa kwa ajili ya yale mikono yao iliyotenda.

Copyright information for SwhKC